Ujerumani ndio yenye uwezo wa kumnyamazisha Putin - The Guardian
19 Januari 2023
Makala katika gazeti la Guardian liliishauri serikali ya Ujerumani kuipatia Ukraine vifaru, hasa vifaru vya Leopard, ili kukabiliana na Urusi.
Mwandishi Timothy Garton Ash alisema: "Ikiwa Ujerumani kweli...