HABARI Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Clemence Mwandambo, mkazi wa Mtaa wa Uzunguni “A” ambaye ni Mwalimu wa Shule ya Awali ya Saint Clemence, jijini Mbeya, kwa tuhuma za kuchapisha na kusambaza taarifa za uongo pamoja na kukashfu imani za dini.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na...