WANAFUNZI 121 wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wameondolewa masomoni baada ya kupatikana nah atua ya kuhusika kuchezea mfumo wa matokeo(SR2) Mwaka 2023/24.
Taarifa hiyo imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano na Masoko UDOM, kufuatia kusambaa mitandaoni taarifa madai ya wanafunzi 400 kufutwa masomo...