Ukraine: Marekani na nchi za Ulaya zaahidi kutoa silaha nzito kwa Kyiv
Nchi zaidi zimejibu wito wa Rais Volodymyr Zelensky wa kutuma silaha zaidi nchini Ukraine.
Marekani inasema kifurushi cha thamani ya $2.5bn (£2bn) kitatumwa, ikijumuisha magari ya kivita na mifumo ya ulinzi wa anga...