Advertise here

ulinzi

  1. Kasomi

    JWTZ Yatoa Tamko Hali ya Ulinzi na Usalama Nchini

    HABARI: Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa tamko rasmi likieleza kuwa linaendelea kufuatilia kwa karibu hali ya Ulinzi na Usalama nchini katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 na 29 Oktoba 2025, kama ilivyotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi ya...
  2. Kasomi

    Ulinzi wa Rais wa Korea kaskazini Kim Jong "Kiduku"

    ULINZI WA KIM JONG "KIDUKU". Kama inavyofahamika dhahiri kuwa ni vigumu kwa mwanga wa mshumaa kudumu katikati ya upepo wa kimbunga unaoangusha maghorofa; vivyo hivyo ni vigumu hata kwa ‘inzi’ mwenye nia ovu kumsogelea Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un. Huyu ni kiongozi ambaye vyombo...
Back
Top