UNI AWARDS-SEASON 07
MAELEZO MAFUPI
University Awards Tanzania (UNI AWARDS) ni Tamasha la utoaji tuzo kwa Wanafunzi wenye vipaji vyuo na Vyuo vikuu vyote vilivyopo Tanzania, Tamasha ni maalumu kwa ajili kukuza vipaji kwa vijana hasa waliopo vyuoni, kujiajiri kupitia vipaji vyao na...