Kwa mujibu wa jarida la elimu kutoka Uingereza la Times Higher Education, vyuo vikuu bora barani Afrika vimetoka katika nchi 19 katika orodha yao ya 2025 kati ya zaidi ya vyuo vikuu 2,000 kutoka nchi 115. Kwa ujumla, Misri na Algeria ndizo nchi mbili za Afrika zilizotoa vyuo vingi katika orodha...