USAJILI WA MAJINA YA BIASHARA
Jina la biashara ni nini?
Jina la biashara ni utambulisho wa biashara fulani inayofanywa na mtu au kikundi cha watu. Hivyo mtu mmoja au kikundi cha watu wasiozidi 20 wanaweza kusajili jina la biashara. Mfano wa majina ya biashara ni Ali Entreprises, Rose Beauty...