Rais wa Uganda Yoweri Museveni alifundisha Chuo cha Ushirika Moshi na pia ashawahi kusoma UDSM
Elimu
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam: Museveni alisoma Shahada ya Uchumi na Sayansi ya Siasa katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) nchini Tanzania (1967–1970). Hapo ndipo alipoanza harakati za...