UNA UTajiri Gani Hivi Sasa?
(Sio uhai… UTajiri wa pesa, mali – NET WORTH yako halisi.)
Anaandika✍🏻 Faida Potea,
Kabla hujaingia 2026 ukitaka mafanikio ya kweli ya kifedha, swali hili ni lazima ujijibu kwa uaminifu.
Huwezi kuboresha kitu ambacho hukipimi.
Huwezi kujenga utajiri bila kufahamu...