MARA nyingi baadhi ya wapenzi wanaoachwa na wenza wao wamejikuta wakigeuka kuwa watu wa huzuni katika sehemu kubwa ya maisha yao baada ya kuachwa.
Huzuni hiyo husababisha wengine kupunguza ufanisi wao wa kazi, wakati mwingine humfanya mtu kuwa dhaifu katika maamuzi na fikra zake, huku wengine...