Siku ya wapendanao ‘Valentine's Day’ ni sikukuu ambayo huadhimishwa kila ifikapo tarehe 14 Februari ya kila mwaka.
Valentine hutumika na watu wengi kuonyesha upendo kwa wenza/ watu wa karibu kwa kuwapa zawadi, kutoka nao kwenda sehemu za starehe kwa ajili ya kupumzika, kushiriki nao vyakula na...