vita

  1. F

    Kwanini umuingize mwanao pekee wa kiume kwenye vita vya kimafia dhidi ya maadui wako kisiasa !?

    Huwa na mwemheshim Sana Baba wa taifa Mwl nyerere kuiweka mbali familia yake na purukushani za kisiasa!alijua madhara ya kuwaweka wanawe kwenye battle line ya kisiasa dhidi ya maadui zake!! Mtia Nia was Sasa WA chama chetu kamuingiza mwanawe pekee wa kiume kwenye mapambano ya kisiasa na kimafia...
  2. Kasomi

    VITA YA MADENI; AINA KUU 2 ZA MADENI

    VITA YA MADENI; AINA KUU 2 ZA MADENI. Anaandika Festo Amos Wengine madeni yanawaua wengine madeni yanawainua, walio chini yanawadidimiza na walio juu yanawapaisha, wenye hekima hutumia mikopo kama daraja la wajinga hutumia mikopo kama kamba za kunyonga maisha yao. Lakini yote katika yote ili...
  3. Kasomi

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatima ya mzozo

    Chanzo cha mvutano wa kijeshi kati ya Urusi na Ukraine na uwezekano wa vita kkamili Tangu mwaka Mpya wa 2022 uanze,vyombo vingi vya kiusalama vya kimataifa vimekuwa vikiripoti juu ya tishio la nchi ya Urusi Kuvamia kijeshi nchi ndogo jirani ya Ukraine,ambayo zamani ilikuwa katika muungano wa...
Back
Top