vvu

  1. Kasomi

    Je, Mate yanaweza kuambukiza ukimwi?

    Mate yanaweza kuambukiza ukimwi? Jibu ni hapana, matehayawezi kuambukiza HIV. Lakini swali unalotakiwa kulijibu je ni kwa nini mate hayaambukizi. Makala hii itakwend akukupa majibu haya Je, Mate na Damu Inaweza Kusababisha Maambukizi ya HIV? Virusi vya UKIMWI (HIV) vimekuwa vikitafsiriwa kwa...
  2. Kasomi

    Dawa ya kuzuia maambukizi ya Virusi vya UKIMWI yazinduliwa USA

    Shirika la Chakula na Dawa la Marekani (FDA) limeiidhinisha sindano ya kampuni ya Gilead Sciences-Lenacapavir, kama dawa mpya ya kukinga na kutibu Virusi Vya Ukimwi (VVU) ambayo imechukuliwa kama matumaini makubwa katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa UKIMWI duniani. Dawa hiyo hutolewa kwa...
Back
Top