Wachagga (pia huandikwa Wachaga) ni kabila la watu wenye asili ya Kibantu (lakini pia mchanganyiko wa damu, hasa ya Kikushi) wanaoishi kaskazini mwa Tanzania chini ya mlima Kilimanjaro, mkoani Kilimanjaro.
Wachagga ni kabila la tatu kwa ukubwa nchini Tanzania.
Takwimu za mwaka 2003 zinaonyesha...