KWA NINI WAKATOLIKI WANAWEKA SANAMU KANISANI?
Wakatoliki huweka sanamu Kanisani kwa sababu huheshimu anayewakilishwa na sanamu hiyo kwa mfano Yesu Kristo, Mama Bikira Maria, Malaika na Watakatifu; na kamwe hatuziabudu. (Kutoka 25:18-22)
Hata Waisraeli kwenye hekalu lao walikua na sanamu kama...