Orodha Ya Majina ya Walimu Walioitwa Kazini 2025 | Serikali Yatangaza Walimu Wapya 189, Orodha na Maagizo Muhimu.
Serikali ya Tanzania kupitia Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, imetangaza kuwataka walimu wapya 189 waliofanyiwa usaili kati ya Januari 5, 2025 na Februari 24, 2025...