watumishi

  1. Kasomi

    Viwango Vya Mishahara Ya Watumishi wa Serikali 2025 (TGS salary Scale) | Mishahara ya Wafanyakazi Serikalini

    Serikali inaendelea kutekeleza Sera ya malipo ya Mshahara na Motisha katika Utumishi wa Umma ya Mwaka 2010. Katika hatua za kutimiza malengo ya Sera hii, Serikali imefanya marekebisho ya mishahara ya watumishi wake kuanzia tarehe 1 Julai, 2022. Kufuatia marekebisho hayo, kima cha chini cha...
  2. F

    Hofu kuu yatanda Kwa watumishi wa umma baada ya kucheleweshwa malipo ya mishahara mwezi huu!

    Huko mitandaoni Kuna tetesi kwamba watumishi wa Umma ikiwemo wanajeshi hawajapata mishahara Yao Hadi sasa!! Kuna tatizo gani!!?Kwa kawaida wanajeshi wanapata mishahara yao tarehe 20 kila mwezi na kada nyingine ni tarehe 23,24! Lakini Hadi Sasa hakuna dalili yoyote inyoonekana watumishi hao...
  3. Kasomi

    Kamati Ya Bunge Yahimiza Maslahi Ya Watumishi Wapya Yazingatiwe

    KAMATI YA BUNGE YAHIMIZA MASLAHI YA WATUMISHI WAPYA YAZINGATIWE Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI imeiomba serikali kuendelea kuboresha maslahi ya watumishi na kuwalipa stahiki zao, hususan kwa watumishi wapya, ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi. Mwenyekiti wa Kamati hiyo...
Back
Top