wauawa

  1. Kasomi

    Wanamuziki watano wa Mexico wauawa Mpakani na kundi la Wahalifu

    Wanamuziki watano waliotoweka katika mji wa Reynosa nchini Mexico, karibu na mpaka wa Marekani, waliuawa na washukiwa wa kundi la madawa ya kulevya, mamlaka ya Mexico imesema. Watu tisa wanaodaiwa kuwa wanachama wa genge la Gulf wamekamatwa kwa tuhuma za mauaji, kulingana na Irving Barrios...
Back
Top