#MICHEZO: Klabu ya Al Ahly imeomba kuahirisha mechi yake dhidi ya mpinzani wake Zamalek katika Ligi Kuu ya Misri iliyopangwa kufanyika leo saa 4:30 Usiku.
Al Ahly katika taarifa yao waliyoichapisha mapema hii leo wametishia kujitoa kwenye Ligi ya Misri iwapo mechi yao dhidi ya Zamalek...