ZIWA TANGANYIKA
Hili ni miongoni mwa maziwa makubwa na mashuhuri Afrika na Duniani kwa ujumla.
Ziwa Tanganyika linapatikana Magharibi mwa Tanzania likipakana na nchi za Burundi, Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Zambia.
Sifa za Kipekee;
Ziwa Tanganyika ni la kwanza kwa urefu Duniani (the...