Advertise here

Opera NewsHub ni jukwa la maudhui mtandaoni ambalo unalipwa kwa kuandika Makala au Habari

Kasomi

JT Founder
Opera NewsHub ni jukwa la maudhui mtandaoni ambalo huruhusu mtu yeyote kujisajili bila malipo, kuchapisha maudhui na kulipwa kila mwezi!

Jukwaa hili kubwa zaidi Afrika limekua likiendeshwa nchini Kenya, Afrika Kusini, Nigeria, Ghana na kuingia Tanzania mwezi wa Februari, 2025.

Opera inalipa kwa machapisho ya Kiswahili pia. Na kwa washiriki wapya wanashauriwa kuchapicha walau machapisho 15 ndani ya mwezi japo sio lazima kufikisha machapisho hayo.

Waandishi walio sikia wito na kujiunga na Opera NewsHub walipata nafasi ya kijishindia bonasi na malipo mazuri.

Waandishi walitakikana kuchapisha angalau makala 30 mwezi wa Februari, na wastani wa maneno isikuwe chini ya 250.

Jinsi ya kujisajili ili uanze kulipwa

Kwanza Kabsa Opera NewsHub inalipa kwa kutumia MiniPay.
Hivyo Kabla ya kujisajili inapaswa upakue App ya MiniPay

Bonyeza Hapa kupakua App ya MiniPay
Baada ya kupakua utajisajili na MiniPay kupitia Email mfano Gmail au Facebook na utatumia Namba yako kama MiniPay Wallet.
Uzuri ukipakua tu unapata bonus ya $0.10 ukisha jisajili na MiniPay

Baada ya kujisajili na MiniPay sasa unaweza jisajili na Opera NewsHub
Bonyeza Hapa kujisajili na Opera NewsHub
Hapo utajisajili kisha utaunganisha MiniPay Wallet yako kwenye akaunti ya Opera NewsHub na Akaunti yako itasubili kupitishwa na baadae ya kupitishwa unaweza andika Makala mbalimbali na kulipwa kwa kufuata vigezo na masharti.

Hii ni Nzuri kwa waandaaji maudhui pia

Kama Una swali lolote karibu na pia unataka msaada unaweza uliza hapa au ungependa kushare chochote karibu
 
Back
Top