Advertise here

Basilisk (Basiliscus basiliscus) Mjusi anayeweza kutembea juu ya Maji

Kasomi

JT Founder
Screenshot_20260130-193437~2.jpg

Basilisk ama (Basiliscus basiliscus) ni mjusi anayepatikana katika misitu ya mvua ya Amerika ya Kati na Kusini. Anafahamika zaidi kama mjusi wa Yesu Kristo (Jesus Lizard) kwa sababu ana uwezo wa kukimbia juu ya maji,

Anatumia zaidi ngozi yake pana ya miguu ya nyuma kuongeza eneo la kukanyaga juu ya uso wa maji, ambayo humsaidia kukimbia Maadui.

Kwa kawaida Mjusi huyu ana rangi ya kahawia au kijani-kijivu, ana mkia mrefu unaomsaidia kubalance wakati wa Kukimbia Juu ya Maji.
 
Back
Top