Advertise here

GPA Calculator – Pima GPA Yako kwa Urahisi | JamiiTalk

Kasomi

JT Founder
GPA Calculator – Pima GPA Yako kwa Urahisi | JamiiTalk

Unataka kujua GPA yako kwa haraka na kwa usahihi? 🎓

JamiiTalk imeandaa GPA Calculator inayokusaidia kuhesabu GPA yako kwa kuingiza masomo yako, idadi ya credits na grade ulizopata.

🔹 Inavyofanya kazi:
1. Ongeza jina la somo.
2. Weka idadi ya Credits.
3. Chagua Grade uliyopata.
4. Mfumo utahesabu Grade Point na GPA yako automatically.

Pia unaweza weka taarifa zako na za Chuo ili kupata ripoti (Hii ni hiari)

Baada ya hapo unaweza bonyeza download ili kupata ripoti. Kama hutaki kupata ripoti unaweza jaza tu masomo, Credit na Grade kisha sehemu ya personal details unaacha wazi

Kwa nini utumie GPA Calculator?
- Kuokoa muda wa kufanya mahesabu manually
- Kupunguza makosa ya kihesabu
- Kujua GPA yako baada ya kuingiza masomo yote
- Kufuatilia academic performance yako kwa urahisi

🎓 Wanafunzi wote wanaweza kuitumia kujua GPA yao na kupanga vizuri masomo yao.

👉 Jaribu JamiiTalk GPA Calculator na ujue GPA yako leo!

Bonyeza hapa chini kutumia mfumo huu
 
Back
Top