Nakubali watanzania wanapenda kujazana mahali fulani bila kuangalia kwamba kuna wengine wanaoffer kitu vizuri zaidi
Wamiliki wao wanaendesha majukwaa yao kimabavu sasa kuanzia leo ni active member wa Jt yapo na mm ninayo yangu ila mapenzi yangu nikutumia forums ambazo napata uhuru wa kuongea sio kulimitiwa na kuzuiliwa features
Me with u forever JamiiTalk