Kasomi
JT Founder
Neuralink, kampuni ya teknolojia ya neva ya Elon Musk, imepata kibali maalum cha kifaa kutoka kwa FDA kwa kifaa chake cha Blindsight, ambacho kinatarajiwa kurejesha uwezo wa kuona kwa wale waliopoteza macho yao yote na mishipa ya kuona.
Kibali hiki ni muhimu kwa sababu kimekamilisha mchakato wa kisheria, na hivyo kuipa Neuralink njia ya haraka zaidi kuelekea majaribio ya binadamu.
Blindsight ni hatua kubwa katika teknolojia ya kiungo kati ya ubongo na kompyuta, ikilenga kurejesha siyo tu uwezo wa kuona vitu rahisi, bali pia uwezo wa kuona na teknolojia hii inaweza hata kusaidia kusikia.
Kifaa hiki kimeundwa kuchakata ishara za neva, na kuwezesha kusafirisha data za kuona moja kwa moja kwenye ubongo katika sehemu ya Ubongo ambayo inahusiana na kuona. Hata hivyo, Neuralink na Elon Musk hawajaelezea muda maalum kuwa lini Blindsight itaanza majaribio ya kitabibu.
Pia kuna kampuni ya eSight ilifanikiwa kuwezesha mtu asiyeweza kuona, kuwa na uwezo wa kuona.