Advertise here

Recent content by Kikombe cha Babu

  1. K

    TANZIA MC Pilipili Afariki Dunia

    Chanzo cha kifo ni nini?
  2. K

    Waziri Robot wa Albania ni Mjamzito atazaa watoto 83

    Kwahiyo alipewa mimba na roboti mwenzake, ndio tunakoelekea
  3. K

    Waziri Robot wa Albania ni Mjamzito atazaa watoto 83

    Aisee sasa dunia ikianza kujaa marobot sisi tutakuwa na kazi gani?
  4. K

    Hii ndio mikoa 10 masikini zaidi Tanzania mwaka 2023

    Singida, Tabora na Dodoma hiyo mikoa inachangangamoto kubwa ya maji, ni jambo la kushangaza viongozi wanapeleka makao makuu ya nchi Dodoma sehemu ambayo mji ni shida kwa wananchi wangetatua hizo changamoto za maji hiyo mikoa ingekua
  5. K

    Hii ndio mikoa 10 masikini zaidi Tanzania mwaka 2023

    Pwani ni wavivu wanapenda umwinyi kuliko maendeleo, na utaona wachakarikaji ni watu kutoka mikoa mingine lakini wenyeji wameshikilia mambo yasiyo na tija
  6. K

    Hii ndio mikoa 10 masikini zaidi Tanzania mwaka 2023

    Hiyo mikoa aliyeifanya kuwa masikini ni serikali ya CCM, huko katavi ni wazalishaji wakubwa wa mahindi, lakini wamepakizana na ziwa rukwa, lakini mkoa haujafunguka kwa sababu ya miundo mbinu
  7. K

    Waziri Robot wa Albania ni Mjamzito atazaa watoto 83

    Mmh! Yaani robot lina ujauzito wa watoto 83? Au sijaelewa
  8. K

    Kwa Nini Yesu Aliwaambia Baadhi ya Aliowaponya Waende Kujionyesha kwa Makuhani

    Lakini pia kwa upande wa pili, waliokuwa wanaambiwa wakajionyeshe kwa makuhani walikuwa ni wenye ukoma, na hao watu walitengwa kutoka kwenye jamii zao, ili warudi tena ni lazima Kuhani athibitishe ndipo amrudishe kwenye kundi
  9. K

    Ruth Odinga Photo Gallery

    Miguu imezidiwa uzito,, hakuna uwiano kabisa
Back
Top