Recent content by tumefungiwa

  1. T

    Captain Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea

    Nimesoma X kuwa kuna mtu ametekwa, vipi wewe umeisikia?
  2. T

    Mgeni karibu Mwenyeji apone

    siyo rahisi kupoteza wateja maana nyumbani ni nyumbani...... wakiondoa zuio TCRA atu watarudi tu! Iliwahi kutokea na wengi walikuja huku na walipofunguliwa walirudi wote
  3. T

    Captain Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea

    SIDHANI KAMA HUKU KUNA KITU KAMA HIKI!
  4. T

    Captain Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea

    NAONA WATU WA JF HAWATAKI KUJA HUKU AU HAWANA HABARI!
  5. T

    Mgeni karibu Mwenyeji apone

    KUMBE WA TZ TUMELALA.....NILITEGEMEA WATU NIWAONE HUKU, KUMBE BADO TUKO NYUMA KABISA..... NOTE: NILISOMA KWENYE KENYA TALK KUWA MBADALA WA JF NI JAMIITALK,
  6. T

    Mashahidi wa Tundu Lissu watajwa hawa hapa

    huko JF ya Tz kuna nini? mbona watu hawaji huku ?
  7. T

    Mgeni karibu Mwenyeji apone

    akina mshana, johnthebaptist etc mkuje huku achana na ya Tz
  8. T

    Nimeondoka CCM kwa sababu ya usaliti - Mpina

    tunampataje Mx tumpe wazo hili...last time alifanya hivi hivi tukawa tunakutana huku angalau kusemezana
  9. T

    Mgeni karibu Mwenyeji apone

    JF wa TZ njooni huku tuongee
  10. T

    Hofu kuu yatanda Kwa watumishi wa umma baada ya kucheleweshwa malipo ya mishahara mwezi huu!

    WAALIKE WATU WA JF WAJE HUKU TUPOTEZEE MUDA TUKISUBIRI 90 ZA MAMA ZIISHE
  11. T

    Hofu kuu yatanda Kwa watumishi wa umma baada ya kucheleweshwa malipo ya mishahara mwezi huu!

    WATU HAWAJUI KUWA WANGELIWEZA KUJISHIKIZA HUKU WAKATI WANASUBIRI 90 ZIISHE. wAFAHAMISHE
  12. T

    Nimeondoka CCM kwa sababu ya usaliti - Mpina

    JF MAX AILETE HUKU FOR THE TIME BEING
Back
Top