Recent content by Dullah Kilosa

  1. Dullah Kilosa

    Uhuru wa zanzibar

    Nimesoma mahali kumbe ni tarehe 10/12/1963
  2. Dullah Kilosa

    heloooooooo

    Mhhhhh
  3. Dullah Kilosa

    Ipo wapi Zamani?

    cku hizi mambo ni tofauti. Ila Kama wana Jamii tunahitaji marekebisho.
  4. Dullah Kilosa

    Fahamu chanzo cha kuwepo kwa Mwenge

    Kumbeeeee!! Historian ya Tanzania kweli iko hidden, hivi kwa nn?
  5. Dullah Kilosa

    Safi pongezi kwenu team JamiiTalk

    Ila watengeneza app ili tuinjoi zaidi
  6. Dullah Kilosa

    Tanzania ya zamani katika picha (picha za zamani za tanzania)

    Hizo picha ungeweka na maelezo ndo ikipendeza zaidi, All ni All good job
  7. Dullah Kilosa

    Hello humu ndani

    Karibu sana
  8. Dullah Kilosa

    Uhuru wa zanzibar

    Nauliza Zanzibar ilipata uhuru wake tarehe, mwezi na mwaka upi?
  9. Dullah Kilosa

    Hapakuwa na sababu ya kutoijua historia ya kweli ya tanu na uhuru wa tanganyika

    Mzee Saidi ww unaijua vizuri sana historia ya Tanzania mm nakuombea kwa Allah uendelee kuwepo tuweze kufaidi hazina uliyokuwa nayo.
  10. Dullah Kilosa

    Uzi maalumu wa kujifunza kingereza | Learning center special thread

    wacha tujifunze kiinglishi.????????????
  11. Dullah Kilosa

    Computer Shortcut (Important Shortcut Keys for Computer)

    Hii ni muhimu sana kuijua, asante.
  12. Dullah Kilosa

    New Alert: Ajali Dodoma: Basi la Geita Express limegongana uso kwa uso na Fuso, watu kadhaa wahofiwa kufariki Dunia

    Duuh mbona ajali zimezidi mwezi huu? Ereeh Allah tunusulu waja wako na hizi ajali.
  13. Dullah Kilosa

    Mfumo wa Maisha unatengeneza Maskini na Matajiri Duniani

    Aisee mada tamu sana hii mmenigunua macho.
Back
Top