Advertise here

Search results

  1. Kasomi

    Elimu Juu ya Kosa la Ubakaji na adhabu yake

    Kwa mjibu wa sheria mwanamke hawezi kubaki kama ilivyo elezwa hapa chini 👇🏼
  2. Kasomi

    Shindano la Vijana Uchumi Challenge 2026

    Ofisi ya Rais - Maendeleo ya Vijana imeandaa Shindano la Vijana Uchumi Challenge lenye kauli mbiu ‘Wana tunafikiri, Taifa linasonga’. Shindano hili linalenga kukuza Mawazo ya vijana, yenye ubunifu, yanayotekelezeka na endelevu katika kulinda na Kukuza Uchumi wa Taifa letu dhidi ya athari za...
  3. Kasomi

    Kutana na mmiliki wa mwezi aliyeuza ardhi mwezini na kuwa bilionea

    Wakati wanaanga wanne wa misheni ya Artemis II wakiwa njiani katika safari ya siku nne kurejea duniani baada ya kusafiri umbali wa kihistoria wa zaidi ya kilomita 406,000 kuzunguka mwezi, mjadala kuhusu anga na uchunguzi wake umeibuka upya. Lakini mbali na sayansi na safari hii ya kipekee, kuna...
  4. Kasomi

    Unafahamu kuwa Dubai sio nchi bali ni mji ndani ya nchi ya UAE

    Watu hushangaa wanavyo sikia kuwa Dubai sio nchi sababu wengi huzani Dubai ni nchi, lakini ukweli ni kwamba sivyo, Dubai ni Emirate tu yaani Milki au falme. Lakini shaka hii ya iwapo Dubai ni nchi hutokea kutokana na uwezo wake na umaarufu wake duniani hivyo ndipo watu wengi huzani hii ni nchi...
  5. Kasomi

    Karume day; Tujikumbushe historia yake

    Maadhimisho ya 54 Tangu kifo cha Sheikh Abeid Amani Karume
  6. Kasomi

    Hizi ni baadhi ya Nchi ambazo hazina usiku yaani Jua halizami kabsa

    Maeneo sita duniani ambayo jua halizami kwa siku kadhaa Utaratibu wetu wa maisha unazunguka saa 24 kwa siku, na saa 12 za jua, na saa zingine zilizobakia ni wakati wa usiku. Lakini, je! Ulijua kwamba kuna maeneo ulimwenguni ambapo jua halizami kwa kwa zaidi ya siku kadhaa Maeneo hayo ni haya...
  7. Kasomi

    Kutana na Dola Indidis wakili wa Kenya aliyeishtaki Israeli na Italia kwa kumuua Yesu Kristo

    Kutana na wakili wa Kenya aliyeishtaki Israeli na Italia kwa kumuua Yesu Kristo Mnamo 2013, wakili wa Kenya alitaka kupata haki kwa Yesu Kristo, akisema kuwa kesi na kusulubishwa kwa Yesu zaidi ya miaka 2,000 iliyopita ilikuwa kinyume cha sheria. Dola Indidis, msemaji wa zamani wa mahakama ya...
  8. Kasomi

    Fahamu maajabu ya kicheche au Nguchiro

    Na hapo ndipo kukawa na watu hawa wanao itwae kicheche sababu ya mwamba huyo
  9. Kasomi

    Kombe la Dunia la FIFA 2026

    Kombe la Dunia la FIFA la mwaka 2026, ambalo linatangazwa kama FIFA World Cup 26, litakuwa Kombe la Dunia la 23 la FIFA, ambalo ni michuano ya soka ya wanaume inayoshindaniwa na timu za kitaifa za vyama vya wanachama wa FIFA kila baada ya miaka minne. Michuano hiyo itafanyika kuanzia Juni 11...
  10. Kasomi

    The 48 teams for FIFA World Cup 2026

    Group A: Mexico South Korea South Africa Czechia Group B: Canada Switzerland Qatar Bosnia and Herzegovina Group C: Brazil Morocco Scotland Haiti Group D: USA Australia Paraguay Turkiye Group E: Germany Ecuador Ivory Coast Curacao Group F: Netherlands Japan Tunisia Sweden Group G...
  11. Kasomi

    EWURA: Bei elekezi za Mafuta Mkoa wa Geita Aprili 01, 2026

    Taarifa iliyotolewa Jumatano ya Aprili 01, 2026 na Mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji nchini (EWURA) imeainisha bei elekezi za mafuta kwa kila mkoa hapa nchini ambazo zitatumika kwa mwezi huu wa nne (April). Wilaya ya Geita Petroli ni 4,020 na Dizeli ni 4,006 kwa lita moja...
  12. Kasomi

    Metadata OSINT

    Asilimia kubwa ya picha ambazo zipo shared kwenye mitandao nazani Metadata ya location ndo hua miongoni wa vinavyo ondolewa. Je, kwa picha zilizopo mtandaoni pasipo kutambua mandhari yake tunaweza fahamu exactly location ya picha husika?
  13. Kasomi

    TANZIA Aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilwa Kusini kupitia CUF, Seleman Said Bungara maarufu kwa jina la Bwege amefariki Dunia

    TANZIA: Aliyewahi kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jimbo la Kilwa Kusini kupitia Chama cha CUF, Seleman Said Bungara maarufu kwa jina la Bwege, amefariki Dunia, Machi 30, 2026 akiwa hospitali ambako alikuwa akipatiwa matibabu. Enzi za uhai wake Bwege amewahi kutumikia...
  14. Kasomi

    Tetesi: Mgodi wa uchimbaji wa dhahabu wa Msasa, Geita wauwa zaidi ya Watu 100

    HABARI MBAYA KUTOKA MKOANI GEITA Mgodi wa uchimbaji wa dhahabu wa Geita unaojulikana kama MSASA ambao unamilikiwa na Mkuu wa Mkoa wa Geita Martin Shigela huku hisa za Kiongozi huyo zikisimamiwa na Cosmas Ignas. Leo yaani Machi 29, saa Sita Mchana mgodi huo umeua watu zaidi ya 100 baada ya...
  15. Kasomi

    Top 100 most visited websites in Tanzania 2026

    The top 100 most visited websites in Tanzania by Ahrefs organic search traffic estimates. Updated monthly. Top Websites in Tanzania Rank Website Category Search traffic Search traffic 1 youtube.com Entertainment 2.2M -36.9K 2 ↑1 necta.go.tz Jobs & Education 2M +144K 3 ↓1...
  16. Kasomi

    JamiiTalk Wishes you Palm Sunday (Jumapili ya Matawi) 2026

  17. Kasomi

    Mfahamu Jacqueline Mengi au K lynn

    Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi au K lynn kwa jina jingine (alizaliwa 6 Desemba 1978) ni mjasiriamali kutokla Tanzania aliyeanzisha kampuni ya Amorette Ltd , inayotengeneza samani bora alizobuni mwenyewe na kushinda tuzo. Jacqueline vilevile ni mwanzilishi na mwenyekiti wa taasisi ya Dr Ntuyabaliwe...
  18. Kasomi

    Ratiba ya Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2026

  19. Kasomi

    Chombezo: Jamani Eric 🔞

    Noma sana ngoja tusubiri labda atarudi
  20. Kasomi

    Elimu Juu ya Kosa la Ubakaji na adhabu yake

    Nyongeza: JE NI WANAWAKE/ WATOTO WA KIKE PEKEE NDO WANAWEZA KUBAKWA? JIBU: Ndio ni wanawake pekee ndio wanaoweza kubakwa. Kwa mujibu wa sheria ya kanuni za adhabu kifungu cha 130(1), inasema kosa la kubaka ni kosa ambalo linafaywa na mtu mwenye jinsia ya kiume tu.
Back
Top