Itakapo fika siku ya tarehe 02 Agosti 2025 kutatokea tukio la kupatwa kwa jua, ni tukio ambalo linatokea kwa nadra sana itaweza kuvutia watu wengi.
Ni tukio ambalo Dunia nzima itaweza kushuhudia jua litakapo weza kufunikwa na Mwezi kwa takribani dakika 6, ambapo wakati tukio ilo linatokea Jua...