Dunia itakuwa Giza kwa Dakika 6 siku ya Tarehe 2 Agosti 2025

Kasomi

JT Founder
1752960888341.jpg

Itakapo fika siku ya tarehe 02 Agosti 2025 kutatokea tukio la kupatwa kwa jua, ni tukio ambalo linatokea kwa nadra sana itaweza kuvutia watu wengi.

Ni tukio ambalo Dunia nzima itaweza kushuhudia jua litakapo weza kufunikwa na Mwezi kwa takribani dakika 6, ambapo wakati tukio ilo linatokea Jua litaweza kufichwa kabisa na kuwa kiza.

Kupatwa kwa jua hutokea mara moja Kwa Karne kwa sababu ya muda wake wa kipekee na mwonekano mpana katika maeneo kadhaa. Ingawa kupatwa kwa jua kwa jumla hufanyika kila mwaka mmoja au miwili, ila ni mara moja moja hutokea inayodumu kwa muda mrefu na inayoonekana kwa watu wengi kote ulimwenguni ni nadra sana.

Wanasayansi na watazamaji wa anga wanahimiza watu kujiandaa, kwani tukio kama hilo halitafanyika kwa miaka 100 zaidi hivyo itakapo fika Agosti 2 jiandae kushuhudia tukio ilo adimu.
 
Back
Top