academic qualification

  1. Kasomi

    Jinsi ya kufuta Academic qualification kwenye akaunti ya Ajira Portal

    Kwa sasa ajira portal haitoi option ya moja kwa moja kufuta taarifa za Kitaaluma hivyo kuna njia ya kukuwezesha kufuta taarifa hizo. Kufuta academic qualifications kwenye account yako ya ajiraportal wasiliana nao kupitia Call Center: 026 2160350, +255739160350 || Email: katibu@ajira.go.tz au...
Back
Top