Kasomi
JT Founder
Kwa sasa ajira portal haitoi option ya moja kwa moja kufuta taarifa za Kitaaluma hivyo kuna njia ya kukuwezesha kufuta taarifa hizo.
Kufuta academic qualifications kwenye account yako ya ajiraportal wasiliana nao kupitia Call Center: 026 2160350, +255739160350 || Email: katibu@ajira.go.tz au malalamiko@ajira.go.tz pia unaweza kutumia ict@ajira.go.tz
Pia ni vyema zaidi kutumia njia ya email kuwaandikia ujumbe/barua
Unaweza watumia email ukiwaeleza changamoto uliyo nayo na watakusaidia.
Mfano wa barua unayoweza kuwaandikia ni kama ifuatavyo;
Subject: Ombi la Kufutiwa Taarifa ya Kitaaluma (Academic Qualification) kwenye Akaunti ya Ajira Portal
Ndugu Mkurugenzi,
Napenda kuwasilisha ombi langu la kufutiwa taarifa ya Academic Qualification niliyoijaza kimakosa katika akaunti yangu ya Ajira Portal.
Jina langu ni [Jina Kamili], nimesajiliwa kwa kutumia barua pepe [Email yako ya usajili], naomba kufutiwa sifa ya masomo ifuatayo: [Taja jina la sifa/chuo kilichoingizwa kimakosa] ili niweze kurekebisha kwa usahihi.
Naomba msaada wenu kwa haraka ili niweze kuendelea na matumizi sahihi ya akaunti yangu. Niko tayari kutoa nyaraka za uthibitisho kama itahitajika.
Nawashukuru kwa msaada wenu.
Wako,
[Jina Kamili]
Namba ya Simu: [Andika hapa]
Email:
[Andika hapa]
=============
English version
Subject: Request for Deletion of Incorrect Academic Qualification on Ajira Portal Account
Dear Director,
I would like to kindly request the deletion of an academic qualification that I mistakenly submitted on my Ajira Portal account.
My name is [Full Name], and I am registered on the portal using the email address [Your Registered Email]. I am requesting the removal of the following incorrect academic record: [State the incorrect qualification/institution] so I can correct and update my profile accordingly.
I kindly ask for your assistance to resolve this issue promptly. I am available to provide supporting documents if needed.
Thank you for your support and understanding.
Sincerely,
[Full Name]
Phone Number: [Your Number]
Email: [Your Email]