🟢 Safari ya Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, ndani ya Bunge kupitia CCM huenda ikafikia ukingoni mwaka huu
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ametupwa nje ya mbio za kuwania tena ubunge kupitia CCM mwaka huu! 🛑
Taarifa kutoka vikao vya chama ngazi ya wilaya ya Meatu na mkoa wa Simiyu...