afariki

  1. Kasomi

    TANZIA Mama mzazi wa Magufuli Afariki Dunia

    Mama Mzazi wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli, Suzana Magufuli amefariki dunia leo Mei 25, 2026, Chato Mkoani Geita baada ya kuugua kwa muda mrefu. Akizungumza na AyoTV kwa njia ya simu, Mtoto wa Hayati Magufuli, Jesca Magufuli...
  2. Kasomi

    TANZIA Msanii Spack afariki Dunia

    Aliyekuwa msanii wa Bongo Fleva, Selemani Mvamba almaarufu 'Spack', amefariki dunia leo Aprili 27, 2026 nyumbani kwake Chanika jijini Dar es Salaam alipokuwa anapoishi. Meneja wa msanii huyo Abdulrahman Hassan almaarufu Malefti amethitibitisha kifo cha msanii huyo aliyejipatia umaarufu mkubwa...
  3. Kasomi

    TANZIA Jenista Joakim Mhagama afariki Dunia

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu ametangaza kifo cha Mbunge wa Peramiho Jenista Joakim Mhagama, kilichotokea leo December 11, 2025 Jijini Dodoma. "Kwa masikitiko makubwa, naomba kutangaza kifo cha Mbunge wa Peramiho Mheshimiwa Jenista Joakim Mhagama...
  4. Kasomi

    TANZIA MC Pilipili Afariki Dunia

    Mshereheshaji na mchekeshaji maarufu, Emmanuel Mathias anayejulikana kama MC Pilipili amefariki dunia leo Novemba 16,2025. Taarifa zinaeleza kuwa, MC Pilipili alisafiri kuelekea jijini Dodoma ambapo jioni ya leo alitarajiwa kwenda kufanya kazi yake ya ushereheshaji jijini humo, lakini akafikvwa...
  5. Kasomi

    TANZIA Mshindi wa Tuzo ya Nobel na Mgunduzi wa DNA afariki

    James Watson, Mshindi wa Tuzo ya Nobel wa Marekani na Mgunduzi katika utafiti wa DNA, amefariki akiwa na umri wa miaka 97. Kazi yake katika Sayansi ilikumbwa na matamshi ya kibaguzi, ambayo yalimlazimu kujiuzulu wadhifa wake katika Maabara ya kifahari akiwa na umri wa miaka 80. Akiwa...
  6. Kasomi

    TANZIA Mzee Samatta afariki Dunia

    NI huzuni kubwa katika familia ya mshambuliaji wa timu ya taifa 'Taifa Stars', Mbwana Samatta kufuatia taarifa za kifo cha baba mzazi, Ally Samatta. Mzee Samatta amefariki dunia leo hii nyumbani kwake Mbagala Dar es Salaam na taarifa za kifo chake zimethibitishwa na mwanae, Mohamed Samatta...
  7. Kasomi

    TANZIA Mwanachuo akutwa Bafuni amejinyonga

    HABARI Mwanachuo wa mwaka wa tatu wa chuo kikuu cha Tumaini Dar es Salaam, Emmaus Kajura, amekutwa amefariki dunia bafuni kwa kujinyonga na kamba ya mtandio. Taarifa za kifo cha Emmaus zimethibitishwa na uongozi wa serikali ya wanafunzi wa chuo hicho, ingawa sababu za kifo chake bado...
  8. Kasomi

    TANZIA Nguri wa fasihi ya Kiafrika Ngũgĩ wa Thiong'o afariki akiwa na umri wa miaka 87

    Ngũgĩ wa Thiong'o, ambaye amefariki akiwa na umri wa miaka 87, alikuwa kinara wa fasihi ya kisasa ya Kiafrika - msimuliaji hadithi ambaye alikataa kufungwa jela, uhamishoni na ugonjwa. Kazi yake ilichukua takriban miongo sita, hasa ikiandika mabadiliko ya nchi yake - Kenya - kutoka somo la...
  9. Kasomi

    TANZIA Rais wa zamani wa kenya emilio mwai kibaki afariki dunia

    Aliyekuwa rais wa Kenya Mwai Kibaki amefariki akiwa na umri wa miaka 90. Rais Uhuru Kenyata ametangaza muda mfupi uliopita kupitia runinga mbalimbali nchini Kenya. Kibaki alikuwa rais wa tatu wa Jamhuri ya Kenya kutoka mwaka 2002 hadi 2013. Rais Uhuru Kenyatta amesema kiongozi huyo wa zamani...
  10. Kasomi

    TANZIA Mwanamuziki maunda zorro afariki dunia kwa ajali ya gari

    Mwanamuziki Maunda Zorro, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo (Alhamis ya April 14) baada ya gari alilokuwa amepanda aina ya VITZ kugongana uso kwa uso na lori la mchanga huko Kigamboni, Dar es Salaam. Maunda Zorro ni mtoto wa muimbaji nguli wa muziki Zahir Ally Zorro pia ni mdogo wa...
  11. Kasomi

    TANZIA Prof. Honest Ngowi afariki Dunia

    Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka ametangaza kifo cha Prof. Honest Ngowi na Dereva wake, waliofariki asubuhi ya leo kwa ajali ya gari wakiwa njiani kwenda Kampasi Kuu Morogoro. "Tunaomba muwe watulivu wakati Menejiementi inaendelea kufuatilia taarifa kamili ya tukio...
Back
Top