Timu ya Taifa ya Misri imekuwa ni timu ya kwanza kutinga hatua ya mtoano ya timu 16 bora katika Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Afrika Kusini katika mchezo wa Kundi B uliochezwa mjini Agadir, Morocco jioni ya leo.
Shujaa wa ushindi huo ni...
WATANZANIA WATOA MILIONI 100 KWA KILA GOLI LA STARS AFCON
Kuelekea mechi kati ya Timu ya ya Taifa ya wanaume (Taifa Stars), Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda amesema amepigiwa simu na Watanzania mbalimbali ambao wameahidi kutoa Sh100 kwa kila goli watakalofunga...