afrika mashariki

  1. Kasomi

    Ratiba ya Kombe la Dunia 2026 Mechi Zote, kwa Saa za Afrika Mashariki (EAT)

    Ratiba ya Hatua ya Makundi – Kombe la Dunia 2026 Alhamisi, 11 Juni 2026 Saa (EAT) Mechi Kundi Uwanja 22:00 Mexico vs South Africa A Estadio Azteca, Mexico City Ijumaa, 12 Juni 2026 Saa (EAT) Mechi Kundi Uwanja 05:00 Korea Republic vs Czechia A Estadio Akron, Guadalajara 22:00 Canada...
  2. Kasomi

    Forbes: Mo Dewji ndiye tajiri namba moja Afrika Mashariki

    Jarida la Forbes la Marekani toleo jipya la 2026 limetaja Mohammed Dewji, Mfanyabiashara mashuhuri nchini Tanzania kama tajiri nambari moja kwa nchi za Afrika Mashariki akiwa na utajiri wa Dola za Kimarekani Bilioni 2.1. Kwa upande wa bara la Afrika, Dewji mwenye miaka 50 anashikilia nafasi ya...
  3. Kasomi

    Vyuo vikuu Bora Afrika Mashariki

    Kulingana na takwimu iliyotolewa hivi karibuni na jarida la Times Higher Education la nchini Uingereza, Chuo Kikuu cha Makerere cha Uganda, kinashika nafasi ya kwanza kwa ubora, katika ukanda wa Afrika Mashariki. Nafasi ya pili imekwenda kwa Chuo Kikuu cha Nairobi (UON) huku Chuo Kikuu cha Afya...
  4. Kasomi

    Mohammed Dewji (Mo Dewji) Tajiri Namba 12 Afrika na wa 1 Afrika Mashariki

    Jarida la Forbes (2025) limemtaja Manyabiashara wa Tanzania Mohamed Dewjl, kuwa miongoni mwa watu matajiri duniani, akiwa na utajiri wa USD 2.2 bilioni sawa na Tsh 5.7 trillioni. Mo, anakuwa tajiri namba 12 Afrika na namba moja Afrika Mashariki kwa utajiri huo. 2. Orodha ya mwaka huu inaonyesha...
  5. Kasomi

    Ramani Mpya ya jumuiya ya Africa Mashariki (East Africa Community Map)

    Hii ni ramani Mpya ya jumuiya ya Afrika Mashariki yenye jumla ya Nchi 7. Yaani; Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi, Rwanda, Sudan kusini na Congo.
Back
Top