Kasomi
JT Founder
Kulingana na takwimu iliyotolewa hivi karibuni na jarida la Times Higher Education la nchini Uingereza, Chuo Kikuu cha Makerere cha Uganda, kinashika nafasi ya kwanza kwa ubora, katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Nafasi ya pili imekwenda kwa Chuo Kikuu cha Nairobi (UON) huku Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) cha nchini Tanzania, kikishika nafasi ya tatu.
Takwimu hizo zimeangalia vigezo mbalimbali, ikiwemo viwango vya ufundishaji katika vyuo husika, mazingira ya vyuo, ubora wa tafiti, muonekano wa vyuo hivyo kimataifa na fursa za ajira kwa wanafunzi waliopitia vyuo vikuu hivyo.
Je, unakubaliana na takwimu hizi?