Advertise here

ajali

  1. Kasomi

    Manusura wa ajali ya ndege waliokula maiti za wenzao ili waishi

    Manusura wa ajali ya ndege waliokula maiti za wenzao ili waishi Timu ya raga ya shule ya Old Christians Club kutoka Montevideo, Uruguay ilikodi ndege ya Jeshi la anga la Uruguay kusafiri Oktoba 13, 1972 hadi Santiago, Chile. Wakisafiri kwenda kucheza mechi dhidi ya Old Boys katika jiji hilo...
  2. Kasomi

    Ajali Mbaya ya Ndege Ndogo Kwale Yaua Watu 12

    Ndege ndogo iliyokuwa imebeba watu 12 imeanguka katika eneo la kaunti ya Kwale, pwani ya Kenya, na kusababisha vifo vya watu wote waliokuwa ndani, kwa mujibu wa taarifa kutoka Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya Kenya (KCAA). Mkurugenzi Mkuu wa KCAA, Emile Arao, amethibitisha kuwa ndege hiyo yenye...
  3. Kasomi

    Chanzo cha ajali ya Diego Jota chabainika

    Polisi nchini Uhispania wamesema sababu ya ajali iliyopelekea kifo cha nyota wa Liverpool, Diogo Jota na ndugu yake Andre Silva ni mwendo kupita kiasi wakiwa na gari lao aina ya lamborghini lililolipuka kaskazini-magharibi mwa mkoa wa Zamora, Alhamis ya Julai 3 2025. Ripoti ya askari wa...
  4. Kasomi

    Ajali 5 za ndege mbaya zaidi kuwahi kutokea duniani

    Ajali 5 za ndege mbaya zaidi kuwahi kutokea duniani 1. Pan Am Flight 1736 na KLM Flight 4805 – Vifo 583 Janga hili linakumbukwa kama ajali mbaya zaidi katika historia ya usafiri wa anga, ilitokea Tenerife, visiwa vya Canary mnamo Machi 27, 1977. Ndege mbili za Boeing 747 ziligongana kwenye...
  5. Kasomi

    May 21 Kumbukumbu Ajali MV Bukoba

    Kumbukumbu Ajali MV Bukoba Serikali imejifunza Umuhimu wa Ubora Vyombo vya Kusafiria? Inawajibika vya kutosha kupunguza ajali nchini? Leo tarehe 21/05/2025 ni kumbukumbu ya ajali mbaya ya meli Buboka, ajali iliyosababisha pigo kubwa kubwa kwa watanzania waliopoteza na wapendwa wao kwenye ajali...
  6. Kasomi

    TANZIA Wanafunzi watatu UDOM wafariki katika ajali ya gari

    Wanafunzi watatu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wamefariki Dunia na wengine watano wamejeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea Juni 4, 2022 jioni katika moja ya barabara zilizopo chuoni hapo. Ofisa Uhusiano wa chuo hicho, Beatrice Baltazar amesema ajali hiyo imetokea jana Juni 4, 2022 saa...
  7. Kasomi

    TANZIA Mwanamuziki maunda zorro afariki dunia kwa ajali ya gari

    Mwanamuziki Maunda Zorro, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo (Alhamis ya April 14) baada ya gari alilokuwa amepanda aina ya VITZ kugongana uso kwa uso na lori la mchanga huko Kigamboni, Dar es Salaam. Maunda Zorro ni mtoto wa muimbaji nguli wa muziki Zahir Ally Zorro pia ni mdogo wa...
  8. Kasomi

    New Alert: Ajali Dodoma: Basi la Geita Express limegongana uso kwa uso na Fuso, watu kadhaa wahofiwa kufariki Dunia

    Hapo jana siku ya tarehe 3/4/2022 Watu kadhaa wanahofiwa wamefariki dunia baada ya kutokea ajali iliyohusisha basi lijulikanalo kwa Jina la Geita Express kugongana uso kwa uso na lori aina ya Fuso lenye namba za usajili T 134 DXR katika eneo la Chinangali II Mkoani Dodoma. Habari zaidi...
Back
Top