Kasomi
JT Founder
Manusura wa ajali ya ndege waliokula maiti za wenzao ili waishi
Wakisafiri kwenda kucheza mechi dhidi ya Old Boys katika jiji hilo. Ndege yao FH-227D, iliyokuwa na abiria 45, ilipokuwa ikivuka Milima ya Andes, ilianguka na kusababisha vifo vya papo hapo vya watu 12.
Wengine 17 walikufa siku zilizofuata, kutokana na majeraha, ukosefu wa chakula na hali mbaya waliyokabiliana nayo.
Ajali hiyo ilipachika jina la "Muujiza wa Andes" na imeonyeshwa katika filamu ya Netflix "The Snow Society."
Timu ya raga ya shule ya Old Christians Club kutoka Montevideo, Uruguay ilikodi ndege ya Jeshi la anga la Uruguay kusafiri Oktoba 13, 1972 hadi Santiago, Chile.Wachezaji wa timu ya raga waliopata ajali.