ajinyonga

  1. M

    Mchungaji ajinyonga kisa Msongo wa Mawazo

    HABARI Mchungaji Zakaria Mbyopyo wa kanisa la Bethel power of God ministry International lililopo kata ya makambini Halmshauri ya mji wa Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe amekutwa amejinyonga ndani ya ofisi yake huku sababu ikitajwa kuwa ni msongo wa mawazo. Wakizungumza na EATV Mashuhuda...
  2. Kasomi

    TANZIA Mwanachuo akutwa Bafuni amejinyonga

    HABARI Mwanachuo wa mwaka wa tatu wa chuo kikuu cha Tumaini Dar es Salaam, Emmaus Kajura, amekutwa amefariki dunia bafuni kwa kujinyonga na kamba ya mtandio. Taarifa za kifo cha Emmaus zimethibitishwa na uongozi wa serikali ya wanafunzi wa chuo hicho, ingawa sababu za kifo chake bado...
  3. Kasomi

    TANZIA Mwanachuo wa SUA afariki kwa kujinyonga, polisi wanafanya uchunguzi

    MOROGORO: Jeshi la Polisi limesema linachunguza tukio la kifo cha Yosia Johani Keya (25) Mwanachuo Mwaka wa Tatu katika Chuo cha Kilimo cha Sokoine (SUA) baada ya kukutwa akiwa amejinyonga kwa kutumia shuka alilofunga kwenye Kenchi la Makazi ya Wanachuo upande wa Baraza la Nyuma Taarifa ya...
Back
Top