Advertise here

akili bandia

  1. Kasomi

    Mtanzania Noel Sebastian, ameunda mfumo wa Akili Unde wenye uwezo wa kutatua changamoto mbalimbali

    Mtanzania Noel Sebastian, ameunda mfumo wa Akili Unde wenye uwezo wa kutatua changamoto mbalimbali kama vile kuwaongoza watu wenye uoni hafifu au wasioona kabisa katika mambo mbalimbali. Mambo hayo ni pamoja na kuwaongoza katika kusoma na kutembea huku ukielekeza njia za kupita, na kuainisha...
  2. Kasomi

    ChatGPT imeweka sehemu mpya ya ChatGPT Search

    ChatGPT imeweka sehemu mpya ya ChatGPT Search ambayo itakuwa inafanana na Google kwa kusaidia kutafuta vitu mtandaoni lakini kwa kutumia akili bandia. Mwanzo wa mwaka huu tuliwahi kutoa tetesi kuwa OpenAI na mpango wa kuweka mfumo ambao utashindana na Google. Mwezi Oktoba ikaanzisha rasmi...
Back
Top