Miaka 20 tangu kuanzishwa kwa Reddit, mmoja wa waasisi wake, Steve Huffman, ametangazwa rasmi kuwa bilionea, hadhi iliyochelewa lakini iliyojaa mafundisho kwa kizazi cha wagunduzi.
Safari yao ilianza mwaka 2001, alipopatana na Alexis Ohanian chuoni. Wazo lao la kwanza halikufanikiwa, lakini...