Advertise here

amefariki

  1. Kasomi

    TANZIA Mwanzilishi wa CNN Ted Turner Amefariki Dunia

    Ted Turner, gwiji wa vyombo vya habari na mfadhili aliyekuwa mwanzilishi wa CNN mtandao wa kwanza wa habari wa saa 24 uliobadili kabisa tasnia ya televisheni amefariki dunia kwa amani siku ya Jumatano, akiwa amezungukwa na familia yake, kulingana na taarifa kutoka Turner Enterprises. Alikuwa na...
  2. Kasomi

    TANZIA Polycarp Kardinali Pengo Amefariki Dunia

    Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Polycarp Kardinali Pengo amefariki dunia katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu. Taarifa za kifo chake zimetolewa usiku wa kuamkia leo ljumaa, Februari 20, 2025 na Askofu Kuu...
  3. Kasomi

    Mwanafunzi CBE Mbeya akutwa Amefariki kwenye Dimbwi

    HABARI Mtu mmoja anayedaiwa kuwa mwanafunzi wa Chuo cha Biashara (CBE) kampasi ya Mbeya, Tido Kadaga amekutwa amefariki dunia kwenye dimbwi la maji katika mtaa wa Maili tano, Kata ya Iganzo Jijini Mbeya. Tukio hilo limetokeo leo Februari 17,2026 baada ya baadhi ya mashuhuda na wasamiria wema...
  4. Kasomi

    TANZIA MC Pilipili Afariki Dunia

    Mshereheshaji na mchekeshaji maarufu, Emmanuel Mathias anayejulikana kama MC Pilipili amefariki dunia leo Novemba 16,2025. Taarifa zinaeleza kuwa, MC Pilipili alisafiri kuelekea jijini Dodoma ambapo jioni ya leo alitarajiwa kwenda kufanya kazi yake ya ushereheshaji jijini humo, lakini akafikvwa...
Back
Top