Advertise here

amou haji

  1. Kasomi

    Mwanamume aliyepachikwa jina la utani la "mtu mchafu zaidi duniani" kwa kutooga kwa miongo kadhaa amefariki

    Mwanamume mmoja wa Iran aliyepachikwa jina la utani la "mtu mchafu zaidi duniani" kwa kutooga kwa miongo kadhaa amefariki akiwa na umri wa miaka 94. Amou Haji, ambaye hakuoga kwa zaidi ya nusu karne alifariki siku ya Jumapili katika kijiji cha Dejgah katika jimbo la kusini la Fars...
Back
Top