JE, JWTZ IMEJIBU HOJA YA CAPT. TESHA?
Anaandika Emmanus Bandekile Mwamakula
Baada ya Capt Tesha kutoa hotuba kwa njia ya video, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa kauli kwa njia ya waraka. Hata hivyo, waraka huo unafichua ya kuwa baadhi ya hoja hizo hutolewa na:
1. Watu...