Jinsi teknolojia ya Motion capture inavyofanya kazi kwenye utengenezaji wa filamu
Kipindi cha nyuma kabla sijawa na ufahamu wa masuala ya teknolojia nilikua nikiangalia muvi kama vile KingKong, Jurasic Park,Godzila,RoboCop, Cyborg , Terminator nk nilikua najua kwamba vile viumbe vya ajabu...