Baada ya kumalizika kwa ligi mbalimbali barani Ulaya, wadau wa soka kote ulimwenguni hujiuliza ni kwa namna gani mshindi wa tuzo ya kifahari ya Ballon d’Or hupatikana.
Ballon d’Or ni tuzo ya heshima ya mtu binafsi inayotolewa kila mwaka na jarida la France Football, kwa mchezaji anayeonekana...