Advertise here

Benzema ashinda Tuzo ya Ballon d'Or 2022

Kasomi

JT Founder
Benzema ashinda Tuzo ya Ballon d'Or 2022
Mshambuliaji huyo wa Real Madrid ameshika namba moja akifuatiwa na Sadio Mané (Bayern Munich), Kevin De Bruyne (Manchester City) na Robert Lewandows (Barcelona).
1666099213065.jpg

Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid mfaransa Karim Benzema amefanikiwa kutwaa tuzo ya Ballon D'or iliyotolewa leo.

Benzema aliwabwaga Sadio Mane na Kelvin De Bruyne ambao wameshika nafasi ya pili na tatu huku kinda wa Barcelona Gavi Simone akitwa tuzo ya chipukizi.

Kipa wa Real Madrid Thibaut Courtois akitwa kipa bora na Sadio Mane akakabithiwa tuzo ya aina yake ya mchezaji aliyejitoa zaidi kwa jamii

Alexia Putellas (Mchezaji Bora wa Mwaka kwa Wanawake)
Barcelona's Alexia Putellas has won the women's Ballon d'Or for 2022! She retains her title after another sparkling campaign for the Catalan side.


Robert Lewandowski (Mshambuliaji Bora – Tuzo ya Gerd Müller)

Mshambuliaji wa Bayern Munich na Senegal, Sadio Mane ameshinda Tuzo ya Socrates inayotolewa kwa mwanamichezo aliyefanya makubwa katika jamii, Mane akitolewa mifano ya kujenga hospitali na huduma nyingine za kijamii.

Thibaut Courtois – Kipa Bora wa Mwaka, kutoka Real Madrid na Ubelgiji tuzo imeenda kwake.

Man City - Klabu Bora ya Mwaka ikifuatiwa na Liverpool, Real Madrid.

Figo, Zidane na Ronaldo De Lima ni moja ya wakongwe wa zamani walio toa Tuzo hizo.
 
Last edited:
Back
Top